Picha: Utambulisho wa Yamoto Band wilaya ya Temeke ilikuwa nomaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Chege na Temba Weekend iliyopita, Mkubwa na Wanawe walikuwa wakitambulisha
bendi yao (Yamoto Band) katika wilaya yao ya Temeke, jijini Dar es
Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye viwanja vya Dar Live. Hizi ni
picha za tukio hilo.
<img
src="http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/Wema-Sepetu-akiwasalimia-mashabiki-walio-fika.jpg"
alt="Wema Sepetu akiwasalimia mashabiki walio fika" width="759"
height="506" class="alignnone size-full wp-image-