Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akiwahutubia wadau mbalimbali
waliohudhuria sherehe ya Uzinduzi Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na
Vifaa Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014
mjini Dodoma.
Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Mhe.
Balozi Oliver Chave akitoa hotuba yake mbele ya wadau mbalimbali waliohudhuria
katika sherehe ya Uzinduzi Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa
Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014 mjini
Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema Nchimbi
akitoa maelezo mazuri kuhusiana na faida ya Uzinduzi Uzinduzi Uboreshaji wa
Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa
Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Dkt. Karin ambaye pia ni mdau wa Mfumo wa
upatikanaji wa dawa na Vifaa Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma akitoa
shukurani zake za dhati kwa wadau mbalimbali waliohudhuria sherehe za Uzinduzi
wa Mfumo huo leo tarehe 11 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya wadau toka sehemu mikoa
mbalimbali wakifuatilia hotuba zikizowasilishwa na viongozi katika sherehe ya Uzinduzi
Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba kupitia Mzabuni mmoja
mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Kikundi cha Ngoma cha mjini Dodoma
kikitumbuiza mbele ya mgeni rasmi wakati wa sherehe ya Uzinduzi Uboreshaji wa Mfumo
wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma, leo
tarehe 11 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya Waandishi wa habari wakichukua
matukio wakati wa sherehe ya Uzinduzi Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa
Dawa na Vifaa Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11
Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wadau wa Mfumo wa upatikanaji wa dawa na
vifaa tiba kupitia mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma wakitiliana saini makubaliano
wakati wa sherehe ya Uzinduzi Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na
Vifaa Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014
mjini Dodoma.
(Picha
zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)