
Mwigizaji
nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB "akitema yai"
wakati akitoa mada yake kwenye wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia
Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania Septemba 12, 2014 katika hoteli ya
Hyatt regency kilimanjaro

Rais
Kikwete akimpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a
JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya
Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania Septemba 12, 2014 katika hoteli
ya Hyatt regency kilimanjaro

Mwigizaji
nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB akisalimiana na Bi Sri
Mulyani Indrawati baada ya kutoa mada yake katika uzinduzi wa Ripoti ya
Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania Septemba 12, 2014
katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro


Rais
Kikwete akiendelea kumpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven
Jacob a.k.a JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya
Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania Septemba 12, 2014
katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro.
NA MICHUZI BLOG