Mgeni
Rasmi katika ufungaji wa Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Jowika
Kasunga akitoa hotuba yake ya kufunga Mkutano huo uliomalizima
leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.Picha
zote na Othman Michuzi,Arusha.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja
azungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufunga Mkutano wa
24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi
wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akitoa hotuba fupi wakati
wa kufunga Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa
PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
AICC,Jijini Arusha.
Mhadhili
wa Chuo Kikuu cha Midland cha Mbabane,Swaziland,Dkt. Michael Angelo
Mlauzi,akiwasilisha mada yake kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama
na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano
wa AICC,Jijini Arusha.

Muwakilishi
wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Prof. Bakari Lemberiti akiwasilisha
Mada iliyohusu umuhimu wa tiba ya Kinywa na Meno katika Mkutano wa 24 wa
Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Mwenyekiti
wa Kikao cha kwanza cha Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa
PPF,Bw. Lenny Kisarika akisikiliza mada mbali mbali ziliyokuwa
zikitolewa kwenye Mkutano huo uliomalizika leo kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akifatilia kwa makini
mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka
wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja
akifatilia kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye
Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo
kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Waheshimiwa Wabunge wakiwa kwenye Mkutano huo.

Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya PPF wakifatilia mada kwenye mkutano huo.

Mmoja wa Wadau wa PPF akiuliza swali.
Baadhi
ya Wakurugenzi wa Mfuko wa PPF wakiwa kwenye Mkutano huo wa 24 wa Mwaka
wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Dada Lulu Mengele wa PPF.
Wadau wakipitia mambo.
Wadau wakiwa kwenye Mkutano huo.
Wapiganaji wakiwa kazini.
Wadau wa Sekretarieti ya PPF wakiwajibika.






































