moyo. Kwenye maelezo yake, binti yake, Melissa amedai kuwa mama yake amefariki akiwa amezungukwa na familia na marafiki na ameishukuru hospitali kwa uangalizi mzuri.
Melissa ni mtoto pekee wa Joan.
Ndoa yake ya kwanza ilidumu kwa miezi sita tu na ya pili na Edgar Rosenberg ilidumu kwa miongo miwili kabla ya mumewe kujiua mwaka 1987.