
Mbunifu
wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishana mawazo na Rais
Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na
kujadili mambo mbalimbali

Rais
Jakaya Kikwete akijadiliana na Ujumbe Maalum Ukiongozwa na Mbunifu wa
mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia) ikulu jijini Dar es
Salaam Leo.

Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa
na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia)IKULU Jijini
Dar es Salaam LEO,Kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki
Ngowi.

Rais
Jakata Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum Kutoka
Sheria Ngowi Brand Ukiongozwa na Mfunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria
Ngowi (wa pili kushoto) Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki
Ngowi(wa pili Kulia)Mkuu wa Kitendo cha Biashara na Matangazo Deo Kessy
(wa kwanza kushoto) na Kiongozi wa idara ya habari kutoka Sheria Ngowi
Brand Atunza Nkrulu(wa kwanza Kulia).Picha na Freddy Maro -IKULU