Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongeza Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fatma Hamid Saleh akiwasilisha taarifa
ya kamati yake kwenye Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba nao wakiwasilisha taarifa za kamati zao kwenye Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi
ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa
taarifa toka kamati mbalimbali Bungeni humo leo 5 Septemba, 2014 mjini
Dodoma.
Baadhi
ya wajumbe wengine wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji
wa taarifa toka kamati mbalimbali Bungeni mjini Dodoma.
Mhe. Anna Abdallah akiteta jambo na mjumbe mwenzake Bungeni leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi
ya Masista wa Kikristo (wawili toka kulia) kama wageni waliohudhuria
Bunge Maalum la Katiba kusikiliza mchakato wa uwasilishwaji wa taarifa
za kamati mbalimbali leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi
ya Masheikh kama wageni waliopata kuhudhuria Bunge Maalum la Katiba
kusikiliza mchakato wa uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali leo
5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wanafunzi
toka shule ya Sekondari ya Loyola iliyopo Dar es Salaam na Shule ya
Chilonwa iliyopo Dodoma wakiwa ndani ya Bunge Maalum la Katiba huku
wakisikiliza jinsi ya uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali leo 5
Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi
ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo mara baada
ya kuhairishwa kwa Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)