Sep 13, 2014

MADEREVA WA BODA BODA MWANZA WAZICHAPA LIVE

 madereva wawili wa boda boda jijini mwanza mitaa ya mitimirefu  wamezichapa live kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ugomvi wa kukatalia eneo la kupaki piki piki zao chanzo cha ugonvi huo ni dereva mmoja alifika eneo la kupaki boda boda na kuwaomba wenzake apaki ndipo wenzake wakamkatalia pale pale jamaa akaanza kuwatolea lugha chafu kuwa wao ni wabinafsi kwani parking ni yakila mmoja sasa kwanini wakatalie mwenzao kupakiau kuweka kijiwe eneo lao



 ngumi zikiendelea kama kawaida piki piki ikiwa chini


 suluhu ikifanyika baada ya ugomvi huo kuzuka 




 mambo yamekuwa shwari 

wapita njia  wakidaka michapo