KIJANA ATUPWA JELA KWA KUMKASHIFU BWANA YESU
Kijana wa umri wa miaka 14 amehukumiwa kwa kosa la kumkashifu yesu kwa kile alicho kipost katika mtandao wa facebook baada ya kupiga picha inayomdhalilisha yesu kwani kijana huyo alipiga picha katika sanamu ya yesu akionesha kuwa yesu nae anashiriki mapenzi ya jinsi moja kijana huyo amejikuta katika wakati mgumu sana baada ya tukio hilo lililotokea jana majira ya asubuhi huko nchini wingereza