JOKATE MWEGELO,IRENE UWOYA,ADAM KUAMBIANA NA JB WAKUTANA KWENYE FILAMU YA MIKONO SALAMA,JIONEE HAPA
Tarehe 25.09.2014
Filamu kali na yenye kusisimua "MIKONO SALAMA" Itaingia kwenye Soko la
Filamu za kitanzania na kuanza kuuzwa.Sio Filamu ya kukosa kabisa kwani
Humo ndani kuna waigizaji mashuhuri na Magwiji ambao wameshirikia na
Mastar kutoka pande zingine.Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti
ameshiriki ndani ya Filamu hii akiwa na
Gwiji Jacob
Steven(JB),pia kuna kipande ambacho amecheza Marehemu Adamu Kuambiana
humu ndani,pia Kuna wasanii wengine kama Irene Uwoya na Single
Ntambalike.Kaa Tayari kuona Filamu nzuri na yakitanzania.