Sep 28, 2014

BENKI YA EXIM KUIDHAMINI STAND UTD

IMG-20140919-WA0028
Timu ya Stand Utd imepata udhamini wa Benki ya Exim wenye thamani ya shilingi milioni 10 za Kitanzania.
IMG-20140919-WA0029
Sehemu ya makubaliano ya udhamini huo ni ‘ku-brand’ basi la timu hiyo  kama picha zinavyoonyesha hapo juu.