TIMU ya Soka ya Azam jana iliizamisha timu ya soka ya Ruvu Shooting kutoka Pwani kwa magoli 2-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Magoli ya Azam katika mchezo huo yalifungwa na mchezaji wa zamani wa Yanga, Didier Kavumbagu, baada ya kuunganisha krosi toka kwa mchezaji wa zamani wa Simba Shaban Kapombe.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL