| Wasanii wakishuka kwenye Ndege tayari kwa Fiesta kesho Ijumaa. |
| Chistian Bella huyoo langoni mwa pipa. |
| Salaam za Bella kwa ardhi ya Bk. |
| Christian Bella akikaribishwa na Mwenyekiti wa kamati ya jukwaa la wasanii Hamza. |
| Dj Ziro langoni mwa ndege akiwa na mwanadada mtangazaji wa Clouds Tv Shadee mbele. |
| Karibu bhana. |
| Jux. |
| Ney wa Mitego. |
| Barnaba. |
| Barnaba mbele akifuatiwa na Madee na Fiesta Crew. |