Aug 8, 2014

PAM D AFUNGUA MILANGO YA BURUDANI TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014


Msanii anayetamba na singo yake ya Nimempata aliyomshirikisha prodyuza Mensen Selekta, Pamela Daffa 'Pam D' akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Matumaini 2014