Aug 8, 2014

MALINZI AWASHANGAA WANAOICHEKA TFF KISA MADENI

malinzi-11111111

RAIS wa Shirikisho la soka Tanzania bara, TFF, Jamal Emil Malinzi amewashangaa watu wanaoshangilia shirikisho hilo kudaiwa madeni na baadhi ya taasisi.
Kuna taarifa kuwa moja ya basi la timu ya taifa ya Tanzania,  Taifa Stars lipo katika hatari ya kupigwa mnada na taasisi moja inayoidai TFF, ambayo Malinzi hakutaka kuitaja, lakini wanajitahidi kutatua tatizo hilo.
Rais Malinzi amesema duniani kote hakuna taasisi isiyodaiwa, hivyo si jambo la baadhi ya watu kusherekea