
Jackline
Kimambo(katikati) Mshindi wa Redd's Miss Kagera 2014, kulia ni mshindi
wa pili Nyangi Warioba na (kushoto) ni Faudhia Haruna kwenye picha ya
pamoja.
Vazi la Ufukweni
Mshiriki Miss Redd's Kagera 2014 Tete Augustine
Walioshindwa kujizuia waliwafuata jukwaani!! Dreams Girls na Mashabiki wao wakifanya yao stejini
Picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi (kushoto) Bw. Amimu Kangezi-Mwenezi wa Chama cha mapinduzi Mkoa
Kagera.