Lori
la Mizigo likiwa limepaki katikati ya kilabu hicho cha pombe ambacho
kilisambalatishwa chote na chini ni mabaki ya kilabu hicho.
Miili minne ya Marehemu ambao walifariki papo hapo baada ya Lori hilo
kugonga kilabu hicho ikiwa imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia
maiti Hospitali ya Rufaa ya Iringa.
Baadhi ya wananchi wa Eneo la Isimila wakiwa wameongezeka kushuhudia ajali hiyo mbaya iliyo uwa wata watano papo hapo.
Hivi
ndivyo Lori hilo la Mizigo lilivyo umia vibaya baada ya kugonga kirabu
hicho na kukisambalatisha usiku wa kuamkia jana na kusababisha vifo vya
watu watano papo hapo.
Ndugu wa Marehemu wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa kwa ajili ya kuwaona Marehem hao.
Picha zote na Iringa Yetu Blog






