Askari
kanzu (kulia), akimpeleka kituo cha Polisi Kati, kijana aliyedhaniwa
kumkwapua mtu aliyetoka benki ya NBC katika ya Jiji mpita njia fedha
zilizotajwa kufikia sh. mil. 5, maeneo ya Mtaa wa Samora, Dar es Salaam
akiwa na wenzake ambao walifanikiwa kukimbia na fedha hizo. (PICHA NA
KASSIM MBAROUK)