ais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwika ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa
Bweni Wilayani Pangani wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji huko Bweni
Wilayani Pangani Mkoa wa Tanga leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mbunge wa Pangani Mhe.Saleh Pamba
wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa maabara
katika shule ya sekondari Kipumbwi huko Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga
leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia fukwe za mji wa Pangani wakati
akivuka kwenda kata ya Bweni kwa kutumia kivuko kipya M.V.Pangani
jana.Mji wa Pangani uko katika hatari ya kumezwa na bahari kutokana na
kuongezeka kwa kina cha maji kulikosababishwa na mabadiliko ya tabia
nchi.




