Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazunguzmo na Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea na kufanya mazunguzmo na Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan.Baadaye Jenerali huyo alimpa zawadi Rais Kikwete na wakapiga picha ya Pamoja
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan na viongozi wengine aliofiatana nao


