Jul 12, 2014

PINDA ASAFIRI KWA TRENI KWENDA READING KUZUNGUMZA NA WATANZANIA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipanda treni kutoka Reading kwenda London Uingereza baada ya kuzungumza na watanzania waishio Reading Julai 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)