Jul 11, 2014

MAYWEATHER KUZICHAPA TENA NA MAIDANA

.
Floyd Mayweather ametangaza kuwa atapanda ulingoni kupambana na Marcos Maidana, Septemba 3 mwaka huu mjini Las Vegas.
Mayweather alimzidi Maidana katika mpambano uliozua utata mwezi Mei, na alisema kuwa atarudiana na Muargentina huyo katika ulingo wa MGM Grand, Las Vegas