Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli(katikati),Meneja Masoko TBL, Fimbo Butallah(kulia) na Meneja Masoko na Usambazaji TBL Kanda ya Ziwa, Malaki Sitaki wakigonganisha chupa wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Mwanza katika Hoteli ya JB Delmonte
Wadau Mbalimbali wakigonganisha chupa wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Mwanza katika Hoteli ya JB Delmonte .
Wadau wakipata Bia ya Ndovu Special Malt wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Mwanza katika Hoteli ya JB Delmonte .
Meneja Masoko TBL, Fimbo Butallah(kulia) akizungumza na wadau wa bia ya Ndovu Special Malt wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Mwanza katika Hoteli ya JB Delmonte .Kushoto ni Meneja Masoko na Usambazaji TBL Kanda ya Ziwa, Malaki Sitaki na Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli.
Wadau wakipata Bia ya Ndovu Special Malt wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Mwanza katika Hoteli ya JB Delmonte .
Picha ya Pamoja na Kikombe wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Mwanza katika Hoteli ya JB Delmonte .
burudani zikiendelea kuwepo na vyupa kujaa mezani
picha habari na GSENGOBLOG