Miili ya Rachel Haule 'Recho' na mwanaye ikishushwa kwenye gari maalum baada ya kuwasili Viwanja vya Leaders ikitokea nyumbani Palestina, Dar tayari kwa kuagwa.
Wasanii wakiongoza msafara kuelekea eneo maalum la kuaga miili hiyo ndani ya Viwanja vya Leaders.
Majeneza yenye miili ya msanii Recho na mwanaye yakipelekwa eneo maalum kwa ajili ya kuagwa.
picha kwa hisani ya GLOBAL NEWS









