Bw. Saguda ambaye ndie alikuwa mchumba wa Marehemu akilia kwa uchungu huku akiliwazwa na nduguye.
Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steven Nyerere akilia kwa uchungu
Baadhi ya Wacheza filamu hapa nchini,wakiwa pembeni ya Jeneza la Mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel) aliefikwa na umauti hivi karibuni.
Sehemu ya Waombolezaji wakiwani ni wenye Majonzi Makubwa ya kuongokewa na mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel).
Zamaradi Mketema wa TakeOne ya Clouds TV alikuwa ni mmoja wa waombolezaji kwenye msiba huo.
Zamaradi Mketema wa TakeOne ya Clouds TV alikuwa ni mmoja wa waombolezaji kwenye msiba huo.
Sehemu ya wacheza filamu wa Bongo Movie wakilia kwa uchuku kwa kuondokewa na Mwenzao,Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika mchana wa leo kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.
waombolezaji katika viwanja vya leaders jijini dar

















