May 4, 2014

DIAMOND ATISHA USIKU WA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS AKUSANYA TUZO 7


 Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake kutoka kwa baby wake, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.



Mshindi wa tuzo saba (7) za Kilimanjaro Music Awards, Diamond Platnumz akiwa katika pozi na mpenzi wake Wema Sepetu.

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amejinyakulia jumla ya tuzo saba katika zoezi la utoaji tuzo za Kili usiku huu ndani ya Mlimani City jijini Dar es Salaam!