Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwana wa Malkia Duke of York Prince Edward alipotembelea kasri ya Malkia ya Buckingham Palace jijini London
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mwana wa Malkia Duke of York Prince Andrew alipotembelea kasri ya Malkia ya Buckingham Palace jijini London
mazungumzo yakiendela ndani ya nyumba
rais jakaya kikwete akisaini katika kitabu cha wageni
mheshimiwa jakaya akihutubia baraza hilo















