wanafunzi kutoka shule ya sekondary walipo temebelea ofisi za chuo kikuu huria cha tanzania jijini mwanza hapa wakiwa katika ofisi ya mkurugenzi kuu wa kituo cha mwanza Bw Bernard kapaya wakipata ufafanuzi zaidi juu ya masuala ya elimu yanayo enendeshwa chuo kikuu huria cha tanzania