Mar 8, 2014

WANAWAKE WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAUNGANA NA WANAWAKE WENGINE DUNIANI KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

 Bibi aliyefurahia maandamano ya wanawake wenzake na kujiunga nao kusheherekea siku ya wanawake duniani.

 Baadhi wa wanawake wa wizara ya maliasili na utalii wakijiandaa kujiunga kwenye maandamano 

   Wanawake wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiserebuka wakati wa maandamano 

Wanawake wanaowakilisha Wizara ya Maliasili na Utalii wakipita mbele ya mgeni rasmi katika uwanja wa Mwembe-yanga.