Timu za mpira bongo movie na boda boda mwanza wakiwa tayari kusakata kabumbu ndani ya uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza leo mapema
timu uwanjani tayari kwa soka
MC juma mtetwa aka silk akiwa na mike akimkaribisha refa wa soka hilo
referee wa soka kati ya bongo movie na boda boda mwanza leo ni JB tayari akiwa maewasili uwanjani na filimbi mkononi
jb akizungumza na wadau wa tasininia ya filamu uwanjani kabla ya soka
vijana wakiwa wanacheki soka uwanjani
moja ya vijana waliofanyiwa interview na team wastara
meza kuu iliwakilishwa na WASTARA JUMA, MBOTO, BAKARI MAKUKA , NA JB pia meza ya mabalozi ilikuwa na BABU WAMBURA, JUMA MTETWA SILK, na PRINCES MANAAR
Mboto akijaribuakiwa kazini na vijana wa interview
wastara na rafiki yake walipokutana full shangwe
juma na mboto wakiteta jambo
babu wambura, mboto na juma mtetwa silk ndani ya uwanja wa ccm kirumba leo
babu wambura na mboto ccm kirumba mwanza
kijana costa nae alipata fursa ya kupiga picha na babu wambura
likitetwa jambo hapo
















