Baadhi ya abiria wakiwa wamepumzika baada ya kukaa kwenye treni la Mwakyembe kwa muda mrefu. Abiria wanaotumia usafiri wa treni jijini Dar wamekwama kwa takribani saa tatu sasa kwenye stesheni ya Posta. Chanzo cha kutoondoka kwa treni hiyo inasemekana ni hitilafu kwenye moja ya vichwa vya treni hiyo hivyo kusababisha kutoondoka kituoni hapo. Abiria wengi wamekwama na wanalalamika bila kupata majibu ya uhakika kutoka kwa uongozi wa TRL.
(PICHA NA PAMOJAH PURE BLOG
(PICHA NA PAMOJAH PURE BLOG

