Dec 12, 2013

TASWIRA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA BASI LA BURUDANI, KOROGWE



 Basi la Burudani baada ya ajali leo Wilaya ya Handeni, Tanga.



 Wananchi wakiwa eneo la Hospitali.

 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.
 

 Majeruhi wakipatiwa matibabu.


Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi


Basi la Burudani leo limepata ajali maeneo ya Kabuku - Korogwe , watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.

PICHA ZOTE NA MKUU WA WILAYA YA KOLOGWE, MRISHO GAMBO