Dec 16, 2013

TASWIRA ZA KIJIJI CHA QUNU ALIKOZIKWA MZEE NELSON MANDELA JUMAPILI









 Sehemu ya kijiji cha Qunu. Mahema mbele ya nyumba ni ya wanahabari wa kimataifa waliopiga kambi hapo



 Ni kijiji chenye mandhari nzuri. Wakati wa majira ya baridi barafu huanguka hapa









 Sehemu ya mji wa Mthatha, kilomita kama 32 kutoka Qunu





wadau wakiwa katika harakati za kuelekea kijiji cha qunu