Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akisisitiza jambo kwenye mkutano na wanahabari (hawapo pichani)
Mkurugenzi wa mashindano wa TFF, Saad Kawemba akizungumza kwa niaba ya shirikisho hilo
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Musa Katabalo akithibitisha timu yake kufanya kweli kwenye mechi hiyo
Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala nae akithibitisha kuingiza kikosi kazi chake uwanjani siku ya siku
Picha ya pamoja baada ya mkutano huo.
KAMPUNI ya TBL kupitia Bia yake ya Kilimanjaro ambayo ndiyo wadhamini wa mechi ya kirafiki ya nani mtani jembe kati ya Yanga na Simba leo imesistiza kuwepo kwa pambano hilo Desemba 21 mwaka huu. Viongozi wa timu hizo nao wamethibitisha kushiriki pambano hilo na kutumia vikosi vya kwanza wakati wa mkutano na wanahabari uliofanyika Makao Makuu ya TBL jijini Dar.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)