Dec 15, 2013

MAZIKO YA NELSON MANDELA KIJIJINI QUNU

 Jeneza baada ya kuwasili eneo la makaburi. Hapa likifunguliwa kutoka kwenye gari maalum

 Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandela likipelekwa makaburini tayari kwa maziko

 Jeneza lenye mwili wa Mandela likiwa makaburini

 Hapa ndipo Hayati Nelson Mandela atakapozikwa.


 OPRA NAE AHUDHURIA MAZIKO

Askofu Desmond Mpilo Tutu ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu Mandela naye akielekea eneo la makaburi.