MKUU WA MKOA MWANZA EVERIST NDIKILO AKIZUNGUMZA
MHE: MAKAMBA AKIZUNGUMZA
naibu waziri wa sayansi na teknolojia leo mapema amefanya mkutano na wadau wa mji wa mwanza ambo kwa asilimia kubwa ililenga waendesha boda boda wa jiji la mwanza. ambapo wameeleza matatizo kadha wa kadha yakiwemo ya ujangiri na polisi feki kuwa sumbua sana barabarani.
MAKAMBA AWASIHI BODABODA WA MWANZA: URAHISI NA UHARAKA WA UPATIKANAJI LESENI USIWE TIKETI YA VIFO VYA WANANCHI.













.jpg)




