MWANAMITINDO maarufu nchini, Jack Patrick amemtetea msanii Juma Khalid ‘Jux’ kwa kusema ni marafiki wa kawaida na kukanusha taarifa za uhusiano wa kimapenzi zilizozagaa.
ack akiwa na Jux katika pozi.
“Kama kuna mapenzi lazima ningeweka wazi tu na kama itatokea nitaweka wazi, naomba watu wasinihukumu kwa kutumia picha, picha ni nyingi na wataona nyingi zikiendelea kwa sababu sisi wote tunapenda kupiga picha,” alisema Jack.

