BAWA AFRIKA
World's News Updates.
Pages
HABARI
GLOBAL NEWS
SHOW BIZ
VIDEOZ
MUSIC
FASHION SHOW
MICHEZO {SPORTS}
Dec 12, 2013
BREAKING NEWS: AJALI YAUA 12 HANDENI, TANGA
Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani Tanga. Chanzo: East Africa Radio
Newer Post
Older Post
Home