Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (kushoto) akikata utepe kwa kushirikiana na Bi. Kaisn Anttoncn ambaye ni Director Chair of PST wa jiji la Tampere
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akikagua ubora wa gari hilo toka katika uskani huku akiwa na Bi. Kaisn Anttoncn ambaye ni Director Chair of PST wa jiji la Tampere. Thamani ya gari hili ni zaidi ya shilingi millioni 500 za Tanzania
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akihutubia wananchi na wageni waliofika katika viwanja vya Ghand Hall, kushuhudia makabidhiano ya msaada wa gari la Zimamoto yaliyofanywa na jiji rafiki la Tampere toka nchini Finland kwa kukabidhi msaada huo kwa jiji la Mwanza
PichamaGSENGOBLOG






