Nov 23, 2013

RAIS WA TFF AMEMPA SIKU 14 RAGE KUITISHA MKUTANO WA DHARURA KUANZIA LEO

Rais wa TFF, Jamali Malinzi.

Rais wa TFF, amempa Ismail Rage kuitisha mkutano mkuu wa dharura ndani ya siku 14 kuanzia leo kujadili mgogoro wa kiungozi unaoendelea klabuni hapo.