Nov 29, 2013

RAIS WA KENYA ASEMA HAKUKUWA NA NIA MBAYA KUITENGA TANZANIA

Baada ya malalamiko ya Tanzania kuhusu ushirikiano wa nchi tatu (Kenya, Uganda na Rwanda) unaojulikana kama Umoja wa Walio Tayari, Rais Uhuru Kenyatta akizungumza jana katika uzinduzi wa reli Mombasa amesema kuwa umoja huo haukuwa na mpango wa kuitenga Tanzania