Nov 21, 2013

PSPF YATAMBULISHA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI (PSS) KWA WAANDISHI WA HABARI

 Kutoka kushoto ni Afisa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Hawa Kikeke, Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF ambaye pia ni Meneja wa kumbukumbu, Chacha Nyaikwabe na Frank Mvungi wa Maelezo wakati PSPF ilipozungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa habari maelezo

 Waandishi wa habari wakisikiliza ufafanuzi kuhusu mfuko wa pensheni PSPF

Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF ambaye pia ni Meneja wa kumbukumbu, Chacha Nyaikwabe