rafiki wa karibu wa dada huyu alikuwa akizungumza na moja ya mtandao hapa mjini kuwa mwanadada huyo aliweka picha hiyo mtandaoni na ndio kulipotokea mgogoro baian ya wapenzi hao na ndipo boyfriend wake aliamua kumpiga chini mwanadada huyo kisa tu utovu wa nidhamu
kwakweli wadada mjaribu kuwa na maadili mema katika jamii
