Nov 23, 2013

MH. LOWASSA ACHANGIA MAENDELEO YA ELIMU KATA YA KIGAMBONI JIJINI DAR



 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa wakinamama wajasiliamali wa Kikundi cha Vikoba Kata ya Kigamboni.Kushoto ni Mwenyeji wake ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kigamboni,Mh. Dotto Msawa.Mh. Lowassa ameahidi kukisaidia kikundi hicho sh. Mil 10 kwa ajili ya maendeleo ya kikundi hicho


Mh. Lowassa na Mwenyeji wake Diwani wa Kata ya Kigamboni,Mh. Dotto Msawa wakiangalia burudani mbali mbali zilizokuwa zikitolewa Uwanjani hapo.





 Mratibu wa Elimu Kata ya Kigamboni na Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi,Raha leo,Mwl. Asha Ferouz akisoma lisala mbele ya mgeni rasmi


 Diwani wa Kata ya Kigamboni,Mh. Dotto Msawa akizungumza na Wananchi wake wa Kigamboni waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Swala,Tuamoyo Kigamboni,jijini Dar es Salaam leo







lowasa akiagana na wananchi