Nov 23, 2013

MANENO YA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA ZITTO NA DK KITILA KUVULIWA VYEO NDANI Y A CHADEMA AKI LI NDOGO I NAT AWALA AKI LI KUBWA"

Kuv uliwa  v y eo  kwa  Zitto  Zuberi Kabwe  na Dr Kitila Mkumbo  kutakuwa  na  v isingio  v ingi,  ukweli  ni  kwamba
"NDANI   Y A  CHADEMA  AKI LI  NDOGO  I NAT AWALA  AKI LI  KUBWA"  I t  is  natural  kwamba  akili  ndogo
ikitawala  akili  kubwa,
1 )  Y atatumika mabav u  na  nguv u  ny ingi  kuizuia  akili  kubwa  kupanda  juu,
2)  Zitataf utwa  sababu  ny ingi  na  v isingizio  uc hwara  kuhalalisha  kuizima  akili  kubwa  tof auti  na  v igezo  v y a
hoja  kwakuwa  akili  ndogo  haiwezi  kuizidi  akili  kubwa  kwa  hoja,
3) Hutumika  v itisho  v ingi  kuzuia  akili  kubwa  kuc hukua  hadhi  y ake
4 )  Akili  ndogo  ni  raf iki wa  akili  ndogo mwenzake,  hiv y o  akili  ndogo  huzungukwa  na  akili  ndogo  kwakuwa
ushauri wa  akili  kubwa  akili  ndogo  hushindwa  kutumia  ama  kushindwa  kuonesha  umiliki mbele  za watu.
Kweny e  c hadema weny e  akili wote wako  nje  y a  uzio wa  c hemic hemi  y a mawazo.  Pale  bungeni watu
wanaoweza  kuf undisha  na waliokuwa wakif undisha  hata  unaibu waziri  kiv uli  hawapati  kwakuwa wanatumia
akili  zaidi  badala  y a  nguv u.  Lakini walioishia  kidato  c ha  kwanza,  pili,  tatu  na  zero  ndio  think  tanks  na  ndio
majembe  y a  c hadema  kwakuwa wanatumia mabav u  na manguv u  zaidi  kuliko  akili  sawasawa  na matakwa
mahitaji  y a  akili  ndogo  inay oongoza  akili  kubwa.  Vijana wahitimu wa  v y uo wanaopenda  siasa waliandikiwa
barua  kuwazuia  kuhutubia mkutano wowote wa  hadhara  sawasawa  na matakwa  y a  akili  ndogo  inapotawala
akili  kubwa.  Zito, Kitila,  Christowaja, Matiko, Opulukwa,  Baregu,  Letic ia,  Selasini,  Arf i,  Akunay , Naste
wengi wao MA  holders  kwa  c hadema  ni  rejec ts. Ukiwa mwanaf amilia  au  ukoo  au  kazi  au wito maalum wa
v iongozi  ndio  utakwepo  kweny e  list.  I   know  Zitto  tangu  tukiwa  c huoni,  he  is  a  brilliant  and  c onsistent
politic ian,  namjua Dr Kitila  tangu  c huoni,  he  is  resourc ef ul. Hiv i  kosa walilof any a  ni  kubwa  kuliko mc hango
wao waliof any a  kweny e  kuwajenga watanzania  kuwaamini  v ijana  kweny e  siasa?  Je  kosa  lao  ni  kubwa  kuliko
mc hango wao  unav y ohitajika?  Vijana  tuko  kazini  na wakati  huohuo  tuko maf unzoni.  Sio  adhabu  nzuri  y a
kuwaf ukuza  ama  kuwaondoa  kweny e  f ursa  y a  kujif unza  zaidi. Hay a  ndio madhara  y a  AKI LI  NDOGO
KUT AWALA  AKI LI  KUBWA, HOFU NDI O HUT AWALA