Kada Maarufu wa CCM,Bwa. Richard kasesela akisalimiana na Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro mara baada ya kuwasili mpakani mwa Wilaya ya Kyela na Rungwe mapema leo asubuhi,wakati ujumbe huo ulipokuwa ukiwasili wilayani Rugwe kwa ziara ya siku 11 ndani ya mkoa wa Mbeya.pichani shoto sambamba ni Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye akisalimiana na wanachama wa CCM.
"Karibu sana nyumbani Kaka Nape"...Kada Maarufu wa CCM,Bwa. Richard kasesela akisalimiana Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye
Msafara wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake ukipokelewa mpakani mwa Wilaya ya Kyela na Rungwe mapema leo asubuhi,wakati ujumbe huo ulipokuwa ukiwasili wilayani Rugwe kwa ziara ya siku 11 ndani ya mkoa wa Mbeya.




