Nov 25, 2013

JANUARY MAKAMBA APEWA MAKAVU LIVE NA LADY JAY DEE>>>>>>>>> HADI AIBU

Lady Jaydee aka Anaconda amemshukia January Makamba live mara baada ya mheshimwa huyo kuandika post inayo husu kupromte wamamuziki  na wasanii  wa Tanzania kupitia twitter yake.  Hebu cheki mambo yalivyo kuwa