Nov 8, 2013

HAYA NDIYO MAISHA YA KIZUNGU YAANI VICHEKESHO KWA WENGINE









mtoto anaetoka katika familia ya kifalme huko wingereza {united kingdom} ambaye analelewa kama yai fulani vle hapa akiwa amepumzika na vitoto vya mbwa ndani ya chumba chake cha kupumzikia yaani hii imekuwa ni moja ya sifa za wazungu katika mataifa mengine kama kivutio.


KWELI WAZUNGU NOMAAAA!!!!!!