Nov 6, 2013

HAYA NDIO MAMBO YANAYO WAFANYA WANAUME KUVUNJA NDOA ZAO CHEKI HAPA MAPICHA YA WADADA WAKIWATEGA WANAUME















Wanaume wengi wamekuwa wakiharibiwa na hisia tofauti kab
isa za wanawake wa mitaani kwa kile kinacho wavutia na kujikuta wakiwa katika wakati mgumu sana na hali hiyo hujitokeza kwa wale wanaume wenye tamaa za mapenzi wamekuwa wakinaswa kwa njia nyingi tu kutoka kwa wadada amabao mara nyingi huwa wanaacha matiti yao wazi au kwa lugha nyepesi KUBOOST MAZIWA au kuacha mapaja wazi wakati wakiwa watupu ndani bla kuvaa chochote ndani halii hii imekuwa gumzo sana katika maeneo ya miji mkubwa hapa duniani na pengine halii hii imepelekea watu wengi kujikuta katika wakati mgumu na kupata maambukizi ya UKIMWI na mwisho wake unaishia tu kujutia hisia zako amabzo zilikufanya kutamani mabo yasiyo kuwa na msingi 

WADADA TAFADHARI SANA JARIBUNI KUJENGA MAADILI ILI MAISHA YAENDE VIZURI