Dec 1, 2013

FAINALI ZA EPIQ BONGO STAR SEARCH KUKINUKISHA USIKU HUU MAKOMANDO KUTOA BURUDANI YA KUFA MTU.





Kati ya wasanii watakaoshambulia jukwaa usiku wa leo ni mshindi wa EBSS 2012, Walter Chilambo..